Tv Diva / Mtangazaji wa clouds fm, diva ameifungukia global tv online kuwa kati ya wanaume anaopenda kuja kuwa nao kwenye mahusiano ni msanii kutoka bongo flevani alikiba.